Solar Sizer TZ
Mfumo wa solar kwa Tanzania
Hatua 3 tu

Jua ni mfumo gani wa solar unaohitaji

Chagua vifaa vyako, tutahesabu inverter, battery, panels na bei kwa shilingi.

Kalkuleta ya Bure ya Mfumo wa Solar Tanzania

Solar Sizer TZ ni zana ya bure ya kuhesabu ukubwa na bei ya mfumo wa solar kwa nyumba na biashara nchini Tanzania. Pata mapendekezo ya inverter, betri za solar, na panels — pamoja na makadirio ya bei kwa shilingi (TZS). Tunatoa huduma za ufungaji wa solar Kariakoo, Gerezani, na maeneo yote ya Dar es Salaam.

Chagua Vifaa Vyako

Bonyeza vifaa unavyotaka kuendesha kwa solar. Unaweza kuongeza kifaa kimoja zaidi ya mara moja.

Vilivyoongezwa (0)

Bado hujaongeza kifaa chochote. Bonyeza kifaa hapo juu kuanza.